1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mapinduzi Zanzibar yatimiza miaka 48

Leo Wazanzibari wameadhimisha miaka 48 tangu kuung'oa utawala wa kifalme nchini humo kwa mapinduzi yaliyofanyika siku kama ya leo tarehe 12 Januari.

Viongozi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar pamoja na viongozi wa serikali ya muungano wa Tanzania katika sherehe za mapinduzi

Viongozi wa serikali ya mapinduzi Zanzibar pamoja na viongozi wa serikali ya muungano wa Tanzania, katika sherehe za mapinduzi.

Leo Wazanzibari wameadhimisha miaka 48 ya mapinduzi ya Zanzibar yaliouondosha utawala wa kifalme.

Maadhimisho hayo yamefanyika katika uwanja wa Amani/Unguja mjini ambako Rais wa Zanzibar, Dr. Ali Mohammed Shein, aliwahutubia wananchi. Katika maadhimisho hayo pia alihudhuria rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wengine wa chama na serikali.

Mwandishi Othman Miraji

Mhariri Yusuf Saumu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com