1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapinduzi ya miaka ya '70 kwenye ushairi wa Kiswahili

21 Machi 2018

Ushairi wa Kiswahili ulijikuta kwenye mtetemeko mkubwa mwishoni mwa miaka ya 1970 wa kuja kile kilichoitwa 'ushairi huru' kikipingana na kilichoitwa 'ushairi wa mapokeo' ambao unazingatia mtindo wa vina na mizani. Miaka 40 baadaye, Mohammed Khelef amekutana na mmoja wa wanamapinduzi hao nchini Tanzania, Profesa Euphrase Kezilahabi.

https://p.dw.com/p/2ug5D