1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mapigano yazuka upya mashariki mwa Kongo

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo mapigano yamezuka upya katika mkoa wa Ituri.

default

Majeshi wa Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Mapigano yamezuka tena katika mkoa wa Ituri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baina ya majeshi ya serikali na yale ya waasi katika kijiji cha Bukiringi.

John Kanyunyu na taarifa zaidi.Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 01.10.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/FSK4
 • Tarehe 01.10.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/FSK4

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com