Operesheni za Kijeshi zinazojumuisha majeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Umoja wa Mataifa MONUC ya kuwasaka waasi wa Rwanda kwa jina Rasta katika msitu wa Mugabe huko Kivu ya Kusini zimezaa matunda.
https://p.dw.com/p/CHCi
Matangazo
Wapiganaji 14 wa kundi hilo la waasi la Rasta waliuawa. Kundi hilo linaaminika kuwa sehemu ya kundi la waasi la FDLR.