Mapigano kaskazini mashariki mwa Kenya
8 Februari 2012Matangazo
Mapigano hayo kati ya jamii za Waborana na Wagabra yaliwalazimisha takribani watu 20 elfu kuyahama makazi yao na kukimbilia katika nchi jirani ya Ethiopia.
Daniel Gakuba ameongea na Galma Godana, mbunge wa zamani wa Moyale, ambaye anajishughulisha na usuluhishi wa migogoro katika eneo hilo, na kwanza alimuuliza nini kilikuwa chanzo cha mzozo wa hivi karibuni.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji