1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapendekezo yaliyotolewa katika ripoti ya ajali ya meli Zanzibar

Samia Othman19 Januari 2012

Baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuiweka hadharani ripoti ya ajali ya meli na kusababisha vifo vya idadi kubwa ya watu , baadhi ya watu wamelezea wasiwasi wao katika kutekelezwa mapendekezo ya ripoti hiyo.

https://p.dw.com/p/13m5J
epa02907841 Rescue workers carry a survivor on the shore after a ferry carrying some 600 passengers capsized in early hours of 10 September 2011 off Zanzibar, the semi-autonomous region of Tanzania, 10 September 2011. Some 250 people have been rescued but more than 40 bodies have been recovered so far and hundreds are feared dead, according to reports. The MV Spice Islander sank while traveling from the main island Unguja to another island Pemba. Resuce is underway with police and fishing boats searching for the missing passengers in one of the worst maritime disasters in Zanzibar's history. EPA/BEATRICE SPADACINI
Ajali ya meli ya MV Spice IslanderPicha: picture-alliance/dpa

Sudi Mnette amzungumza na Mkurugenzi wa mawasiliano ya umma na haki za binadamu wa chama cha CUF, Salim Bimani, ambae kwanza alielezea namna ripoti hiyo ilivyopokelewa.

Mwandishi: Sudi Mnette

Mhariri: Othman Miraji