1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapambano dhidi ya uwindaji haramu Kenya

Bernard Maranga9 Oktoba 2015

Idadi ya wanyamapori inaendelea kutoweka katika mataifa mengi barani Afrika, hasa kwenye mataifa ya Kenya na Tanzania, kutokana na uwindaji haramu na Benard Membe anajaribu kuangazia sababu na jitihada za kupambana na biashara hiyo haramu na ya kimataifa.

https://p.dw.com/p/1Glr1