Maonyesho ya CEBIT 2007 Hannover,Ujerumani | Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili | DW | 15.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Timu Yetu

Maonyesho ya CEBIT 2007 Hannover,Ujerumani

Maonyeshi makubwa kabisa duniani ya teknolojia, maarufu kama Cebit, yalizinduliwa jana jioni mjini Hannover na Kansela wa Ujerumani Angela Merkel.

Kansela Angela Merkel akifungua maonyesho ya CEBIT mjini Hannover

Kansela Angela Merkel akifungua maonyesho ya CEBIT mjini Hannover

Mwenzetu Abubakar Liongo yuko huko kuyashudia na katuletea ripoti.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com