Malaria Zanzibar27.02.200727 Februari 2007Wataalamu kutoka barani Afrika, Ulaya na Marekani wameanza kikao cha siku tatu mjini Zanzibar, kujadili maendeleo na matatizo ya tiba ya Malaria.https://p.dw.com/p/CHJJMatangazoMalaria inakisiwa kusababisha vifo vya watu milioni 1 kila mwaka hasa watoto wachanga walio na umri chini ya miaka mitano, barani Afrika. Salim Said Salim anaripoti ifuatayo.