1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malaria –Kipindi 5 –Kuwahi ni bora kuliko kuchelewa

16 Machi 2011

Mama yake Karembo anampeleka kwa mganga wa kienyeji, badala ya hospitali. Maisha mengi yanaweza kuokolewa kwa upatikanaji wa tiba sahihi, hospitali zilizo na wauguzi na madaktari wenye uwezo pamoja na vifaa.

https://p.dw.com/p/Qola