Malaria – Kipindi 1 – Ni mtoto wa kiume!16.03.201116 Machi 2011Mchezo huu mpya unaonyesha jinsi familia inavyopambana na malaria. Masika anampeleka mkewe mjamzito hospitali. Wakati huo huo bintiye Karembo mwenye umri wa miaka 14, anasikiliza mchezo wa redio kuhusu malaria!https://p.dw.com/p/Qol2Matangazo