Baraza la makanisa duniani limetaka haki ienziwe katika ngazi za familia hadi ulimwengu mzima. Wito huo umetolewa na wajumbe wa makanisa mbalimbali wakiwemo maaskofu wanaokutana kwa kongamano la kimataifa Arusha.
https://p.dw.com/p/2u3So
Matangazo
J3 09.03 Arusha world mission conference - MP3-Stereo