1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makaburi ya kihistoria yateketezwa nchini Uganda

19 Machi 2010

<p>Kabila la Buganda leo limefanya maandamano mjini Kampala kufuatia kuchomwa kwa makaburi ya kihistoria ya Kasubi yaliyoko kilomita tano kutoka mji mkuu wa Kampala.

https://p.dw.com/p/MVMW
Ugandan police face protestors at the site of the burned down Kasubi tombs, in Kampala, Uganda, Wednesday, March 17, 2010. The Kasubi tombs, one of the most sacred sites of the Buganda tribe, were burned down the previous night, sparking unrest in parts of Kampala, after people on the streets accused the government of arson. A Ugandan policewoman says rioters have attacked policemen, firefighters and soldiers in the capital after the tombs of five ancient kings were destroyed overnight by fire.(AP Photo/Marc Hofer)
Polisi wa Uganda wakiwakabili waandamanaji katika eneo la makaburi ya Kasubi yaliyochomwa.Picha: AP
Makaburi haya yaliteketezwa na moto jana usiku ingawa hadi kufikia sasa chanzo cha moto huu hakijajulikana. Makaburi ya Kasubi yalijengwa mwaka wa elfu moja mia nane themanini na moja. Hapa ndipo wafalme wanne wa ufalme wa Buganda walipozikwa. Mwandishi wetu kutoka Kampala Leyla Ndinda ametutumia ripoti ifuatayo.

Mtayarishaji: Josephat Charo

Mhariri: Abdul-rahman