1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Majeshi ya Yemen yakaribia Hodeidah

15 Juni 2018

Majeshi ya muungano wa mataifa ya Kiarabu yanaonekana kukaribia kuingia katika uwanja wa ndege wa bandari kuu ya Yemen ya Hodeidah siku ya Ijumaa, wakati muungano wa majeshi yanayoongozwa na Saudi Arabia yakijitayarisha kuukomboa mji huo.

https://p.dw.com/p/2zcHv