1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano na waziri wa Uganda juu ya haja ya amani Kaskazini ya Uganda

21 Agosti 2007

Nchini Uganda, wakaazi wa eneo la kaskazini wanaanza kutoa maoni yao kuhusu watekelezaji wa ukatili na unyama.

https://p.dw.com/p/CH9M
Joseph Kony mkuu wa kundi la waasi wa LRA
Joseph Kony mkuu wa kundi la waasi wa LRAPicha: AP Photo
Kundi la waasi la Lords Resistance Army LRA limekuwa likisababisha vurugu kaskazini mwa nchi huku mazungumzo ya kufikia amani kati yao na serikali kusuasua. Tarehe 29 mwezi Juni serikali ya Uganda ilitia saini mkataba wa maridhiano na upatanishi na waasi hao. Awali serikali ilichelea uliowakumba.
Omar Mutasa mwandishi wetu wa Kampala amezungumza na Oryem Okelo waziri wa taifa wa mambo ya nje nchini Uganda aliye pia mpatanishi katika mazungumzo hayo ya amani.