Mahojiano na Mwanaharakati Hassan Omar Hassan kuhusu kifo cha Profesa Wangari Maathai
26 Septemba 2011Matangazo
Jee mshindi huyo wa Tuzo ya Nobel alikuwa mtu wa aina gani? Hilo ndilo suali Thelma Mwadzaya alilomuuliza Hassan Omar Hassan ambaye ni mwanaharakati wa masuala ya haki za binadamu na mwanasheria nchini Kenya .
Mwandishi: Thelma Mwadzaya
Mhariri: Mohamed Abdulrahman