1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mafuriko nchini Kenya

5 Januari 2010

Eneo la Afrika Mashariki limeendelea kukumbwa na mafuriko ambapo nchini Kenya kiasi watu 20 wameuawa kutokana na mafuriko hayo.

https://p.dw.com/p/LLW0
Mtaa wa Kibera jijini Nairobi kulikokumbwa na mafuriko.Picha: DW

Watu wengine kiasi cha 20,000 wameachwa bila makazi nchini humo.Nyumba kadhaa katika mtaa wa mabanda wa Kibera jijini Nairobi zimebomoka kwa mujibu wa maafisa wa polisi nchini Kenya. Grace Kabogo alizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Msalaba Mwekundu nchini Kenya, Abbas Gullet, na alianza kwa kuelezea hali halisi ya mafuriko hayo nchini humo.

Mahojiano: Grace Patricia Kabogo/Abbas Gullet

Mhariri: Othman Miraji