Maboma ya Wamasai yachomwa Tanzania | Masuala ya Jamii | DW | 15.08.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Maboma ya Wamasai yachomwa Tanzania

Familia zaidi ya 100 za jamii ya kabila la Wamasai huko Loliondo hazina mahala pa kuishi baada ya maboma yao kuchomwa moto na askari wa wanyamapori kutoka hifadhi za Serengeti na Ngorongoro nchini humo.

Sikiliza sauti 02:36

Ripoti ya Charles Ngereza kutoka Loliondo

                 

Sauti na Vidio Kuhusu Mada