SiasaMaandamano ya upinzani yaendelea CongoTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasa20.09.201620 Septemba 2016Papo kwa Papo 20.09.2016: Ofisi za vyama vitatu vya upinzani Congo zimechomwa moto, Umoja wa Mataifa umesitisha misafara yote ya misaada ya kiutu Syria, Mshukiwa mkuu wa mashambulizi ya New York na New Jersey afunguliwa mashitakahttps://p.dw.com/p/1K5TIMatangazo