1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandamano ya chama cha upinzani CUF jijini Dar es Salaam,Tanzania

30 Septemba 2009

<p>Chama kikuu cha upinzani nchini tanzania CUF leo kimefanya maandamano mjini Dar es salaam, kushinikiza kuwepo na tume huru ya uchaguzi nchini humo kabla ya ucahaguzi mkuu unaotarajiwa Oktoba mwaka ujao.

https://p.dw.com/p/Juog
Wakuu wa vyama vya upinzani Tanzania, kutoka kushoto: Augustine Mrema wa TLP, Ibrahim Lipumba wa CUF na Freeman Mbowe wa CHADEMAPicha: DW
Othman Miraji alizungumza na  Mwaandishi wetu  George Njogopa aliyefika kujionea kilichokuwa kikiendelea .

Mtayarishaji: Othman Miraji

Mhariri: Mohamed Abdulrahman