SiasaMaafa Dar es Salaam baada ya mto Msimbazi kuhama mkondo wakeTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoSiasaAmina Abubakar11.04.201811 Aprili 2018Nyumba kadhaa zimesombwa na maji na nyingine zaidi zikiwa kwenye hatari ya kuporomoka kufuatia Mto Msimbazi kuhama mkondo wake wa asili na kuchana mkondo mwingine katikati ya makaazi ya watu kwenye Mtaa wa Majengo, Vingunguti jijini Dar es Salaam https://p.dw.com/p/2vtIeMatangazo