1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Lumumba akizungumzia kimya cha AU juu ya Libya

Saumu Mwasimba1 Aprili 2011

Mashambulio ya mabomu ya vikosi vya jumuiya ya Kimataifa yanaendelea Libya.Umoja wa Afrika umeshindwa kutoa msimamo wa pamoja.Badala yake baadhi ya viongozi katika Umoja hu wamejitokeza kutoa misimamo yao binafsi.

https://p.dw.com/p/10m0j
Moammar GadhafiPicha: AP
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameunga mkono mashambulio hayo wakati rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini ,Yoweri Museveni wa Uganda wakipinga hatua hiyo.Je wachambuzi wa masuala ya kisiasa barani Afrika wanautazama vipi msimamo huo wa viongozi wa Afrika.Patrick Lumumba ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa na pia mkuu wa tume ya kupambana na rushwa nchini Kenya anazungumzia suala hilo katika mahojiano na Saumu Mwasimba.