LONDON:kisa kingine cha maradhi ya wanyama charipotiwa Uingereza | Habari za Ulimwengu | DW | 07.08.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

LONDON:kisa kingine cha maradhi ya wanyama charipotiwa Uingereza

Daktari Mkuu wa mifugo nchini Uingereza amesema kuwa kisa kingine cha maradhi ya mdomo na miguu kwa wanyama kimeripotiwa huko kusini mwa Uingereza.

Eneo hilo ndiko kulikoripotiwa kisa cha kwanza cha maradhi hayo wiki iliyopita.

Wakati huo huo Umoja wa Ulaya umetangaza kupiga marufuku uingizaji wa nyama, maziwa na wanyama kutoka Uingereza

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com