Mtu mmoja ameuawa mjini London wakati mshambuliaji alipowagonga kwa gari waumini waliokuwa wakitoka msikitini, Mchakato waanza rasmi Uingereza kujitoa katika Umoja wa Ulaya, Chama cha rais wa Ufaransa Emmanuel Macron chapata ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa bunge, Moto wauwa watu 62 nchini Ureno..Papo kwa Papo.