1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

London. Kiwango cha tahadhari chapandishwa.

1 Julai 2007
https://p.dw.com/p/CBmq

Kiwango cha tahadhari kuhusiana na usalama nchini Uingereza kimepandishwa na kuwa cha juu kabisa , ikiwa ni kiwango cha juu kabisa, ikionyesha kuwa shambulio la kigaidi linaweza kutokea wakati wowote.

Waziri wa mambo ya ndani Jacqui Smith amesema kuwa amepandisha kiwango hicho na ameamuru usalama kuimarishwa kutokana na matumio mjini London na Scotland katika muda wa saa 48 zilizopita.