1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kwanini watoto hunyonya kidole?

Najima Said Mohamed Khamis24 Machi 2017

Bila ya shaka unajua watoto wengi huwa na tabia ya kunyonya kidole au labda wewe mwenyewe unaye mtoto mwenye tabia hiyo. Umeshawahi kufikiria kwanini watoto hufanya hivyo na kama kuna athari au faida zozote zinazotokana na tabia hiyo? Basi kupata zaidi, jiunge na Najma Khamis katika kipindi cha Afya Yako.

https://p.dw.com/p/2ZtFE