Kwa nini uharamia haumaliziki kwenye pwani ya Somalia? | Masuala ya Jamii | DW | 24.10.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kwa nini uharamia haumaliziki kwenye pwani ya Somalia?

Licha ya uharamia kuwa suala la kimataifa na ambalo limezikusanya nguvu za pamoja za mataifa mbalimbali duniani, yakiwamo yenye nguvu sana, bado limeendelea kusumbua wafanyabiashara, wasafiri na serikali duniani.

Washukiwa wa uharamia wakiwa mahakamani.

Washukiwa wa uharamia wakiwa mahakamani.

Othman Miraji anatathmini sababu, muendelezo na ugumu wa uharamia na vita dhidi yake kwenye Pembe ya Afrika.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com