Kwa nini Afrika ishindwe wengine walipoweza? | Masuala ya Jamii | DW | 24.06.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kwa nini Afrika ishindwe wengine walipoweza?

Licha ya Afrika kuwa na changamoto nyingi, kiini chake hasa kinatajwa kuwa ni ukosefu wa utawala bora, ambao unasababisha matatizo mengine kuibuka juu yake kama vile ufisadi, umasikini na uvunjaji wa haki za binaadamu.

Ramani ya bara la Afrika

Ramani ya bara la Afrika

Hawra Shamte anauangalia Ushirika Mpya wa Mataifa ya Afrika kwa Maendeleo (NEPAD) na namna ambavyo nchi wanachama zimeweza au zimeshindwa kuutumia ushirika huo kama kichocheo cha kulikwamua bara la Afrika.

Mtayarishaji/Msimulizi: Hawra Shamte
Mhariri: Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com