KUWAIT: Bunge la Kuwait limejiuzulu kuzuia kura ya Jumatatu | Habari za Ulimwengu | DW | 04.03.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

KUWAIT: Bunge la Kuwait limejiuzulu kuzuia kura ya Jumatatu

Serikali ya Kuwait imejiuzulu baada ya kuwa madarakani muda wa miezi minane tu.Wabunge wamesema,lengo ni kuzuia kura ya kutokuwa na imani kupigwa dhidi ya waziri wa afya,Sheikh Ahmad Abdullah al-Sabah.Hatua hiyo ilichukuliwa baada ya serikali kukosa wingi wa kutosha bungeni,kuweza kuzuia kura iliyopangwa kupigwa siku ya Jumatatu ikiwa na azma ya kumuondoa waziri huyo.

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com