1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kutoka mlinzi wa rais hadi mkimbizi

Ni shida kwa mwanaadamu anapokuwa kwenye kilele cha mafanikio ya kawaida, kuamini kwamba anaweza mara moja kujikuta akiwa ameanguka chini akiwa amepoteza kila kitu maishani.

Mwanajeshi nchini Rwanda.

Mwanajeshi nchini Rwanda.

Katika makala hii ya Mbiu ya Mnyonge, Leyla Ndinda akiwa Kampala anafuatilia maisha ya mmoja wa walinzi wa zamani wa Rais Paul Kagame wa Rwanda, ambaye sasa anaishi maisha ya ukimbizi ndani ya ardhi ya Uganda. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Makala: Mbiu ya Mnyonge
Mada: Kutoka Mlinzi wa Rais hadi Mkimbizi
Mhariri: Josephat Charo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada