Kutekwa nyara kwa wahudumu wa Medicins Sans Frontiers nchini Kenya | Matukio ya Kisiasa | DW | 14.10.2011
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kutekwa nyara kwa wahudumu wa Medicins Sans Frontiers nchini Kenya

Nchini Kenya, wahudumu wawili wa shirika la kimataifa la kutoa msaada wa tiba, Medicins Sans Frontieres, waliotekwa nyara hapo jana wanaaminika kuwa wako katika nchi jirani ya Somalia.

default

Dadaab eneo walikokamatwa wahudumu wa Medicins Sans Frontieres

Wahudumu hao walikamatwa karibu na kazi ya wakimbizi ya Dadaab iliyoko kaskazini mwa Kenya. Pindi baada ya tukio hilo, polisi walianzisha operesheni maalum ya kuwasaka wahalifu hao kwa ndege na magari. Duru zinaeleza kuwa usalama umeimarishwa katika eneo hilo na mpaka wa Kenya na Somalia umefungwa kwa sasa. Jee, tukio hilo lina athari gani kwa Kenya? Hilo ndilo suali Thelma Mwadzaya alilomuuliza Simiyu Werunga, mchambuzi wa masuala ya usalama wa Kenya.


Mwandishi: Thelma Mwadzaya

Mhariri: Saumu Mwasimba

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 14.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12rpL
 • Tarehe 14.10.2011
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/12rpL

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com