JamiiKutana na Mjasiriamali anayebadili maishaTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii15.08.201715 Agosti 2017Marie Konaté ni mjasiriliamali mwenye lengo. Hanunui tu asilimia 100 bidhaa za ndani ya nchi yake bali pia anahakikisha asilimia 50 ya wafanyakazi wake ni wanawake. Anauza uji wa watoto na bidhaa nyingine za vyakula.https://p.dw.com/p/2hhH6Matangazo