Kuondolewa kwa magari yaliopo bandarini Mombasa nchini Kenya
11 Septemba 2008Matangazo
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mazingira John Michuki kwa sababu ya uhaba wa nafasi kwenye bandari hiyo ya Mombasa.Jumla ya tani milioni 14 ya mizogo husafirishwa kupitia bandari ya Mombasa.Nchi za Uganda,Rwanda,Burundi,Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo,kaskazini mwa Tanzania,eneo la Kusini mwa Sudan pamoja na Ethiopia hutumia badhari hiyo kusafirishia mizigo.
Ili kupata picha kamili Thelma Mwadzaya amezungumza na afisa wa uhusiano wa Mamlaka ya Bandari ya Mombasa Bernard Osero.