1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kumbukumbu ya wahanga wa shambulio la bomu mjini Nairobi

8 Agosti 2007

Wahanga pamoja na jamaa za wahanga hao walioathirika katika mkasa wa shambulio la bomu la tarehe 7 August 1998 katika ubalozi wa Marekani mjini Nairobi,Kenya walikusanyika katika bustani iliyopo katika eneo la mkasa huo kwa maadhimisho ya kumbukumbu ya siku hiyo.

https://p.dw.com/p/CH9v
Mahali walipoathirika wahanga katika shambulio la Bomu mwaka 1998.
Mahali walipoathirika wahanga katika shambulio la Bomu mwaka 1998.Picha: AP