1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kulipa au kutolipa mahari? unachagua nini?

6 Aprili 2018

Kumekuwa na mjadala miongoni mwa vijana wa ikiwa ni sawa kumlipia mahari mwanamke hasa pale unapotaka kumuoa. Wapo wanaosema mtindo huo umepitwa na wakati, lakini wengine wanadai kuwa huo ni utamaduni mzuri ambao unapaswa kuheshimiwa, Bruce Amani analitazama hilo.

https://p.dw.com/p/2vcG7