Baada ya mashindano ya kutafuta mwanamuziki bora anayeinukia kwenye muziki, washindi wa mashindano hayo huzima ghafla kama walivyowaka. Sababu ni nini?
https://p.dw.com/p/16sgl
Matangazo
Stumai George kwenye Vijana Mchakamchaka anaangalia sababu, hoja na dawa ya kuinuka na kuporomoka kwa ghafla kwa mastaa chipukizi wanaotokea kwenye mashndano ya kusaka vipaji vya muziki Afrika Mashariki.