1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kubadilika kwa mavazi misibani

Celina Mwakabwale/M M T20 Septemba 2016

Katika mila na desturi za mswahili tangu enzi za mababu na mabibi ni kuwa unapotokea msiba watu hujikusanya kwa ajili ya kuwafariji wafiwa, hii ikiwa inaendana na uvaaji wa aina fulani wa mavazi katika eneo hilo la msiba kwa wanawake na hata wanaume. Kwa zaidi ungana na Celina Mwakabwale.

https://p.dw.com/p/1K5JG