1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kuathirika kwa Ukimwi si mwisho wa maisha

30 Novemba 2011

Kundi la wanawake walioathirika na virusi vya Ukimwi nchini Kenya linapambana na unyanyapaa katika jamii dhidi ya wenye virusi na wagonjwa wa Ukimwi, wakionesha kwamba kupata na kuishi na ugonjwa huo si mwisho wa maisha.

https://p.dw.com/p/13Jsa
Mtoto aliyeathirika na VVU akinywa dawa za kurefusha maisha.
Mtoto aliyeathirika na VVU akinywa dawa za kurefusha maisha.Picha: picture-alliance/dpa

Katika makala hii ya Mtu na Afya, mwandishi wetu wa Nairobi, Alfred Kiti, anazungumzia jitihada za wanawake nchini Kenya kupigania utu na heshima yao hata kwa wale walioathirika na virusi vya Ukimwi.

Makala: Alfred Kiti
Mhariri: Othman Miraji