1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Anza

Korosho zabadilisha maisha ya wakulima Guinea Bissau

Chama kimoja cha ushirika kimebadilisha mambo kuhusu kilimo cha korosho kwa kuanza mpango wa kutengeza bidhaa kadhaa kutoka kwa korosho na mkanju na kutafuta soko nchini Guinea Bissau na katika nchi za kigeni na pia kutoa mafunzo ili kuboresha zao hilo ambalo ni kitega uchumi kwa taifa hilo.

Tazama vidio 03:16