1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongo Mashariki: Kundi la waasi FRPI lajiunga na jeshi la Serikali

27 Februari 2012

Katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, kundi la wanamgambo waasi FRPI linaloongozwa na Kanali Cobra Matata limejiunga na jeshi la serikali ya nchi hiyo lakini kwa masharti fulani.

https://p.dw.com/p/14AaC
Waasi waishi msituni Mashariki mwa Kongo
Waasi waishi msituni Mashariki mwa KongoPicha: Simone Schlindwein

Inatarajiwa kuwa nia ya wanamgambo hao kuondoka msituni inaweza kuchangia katika kurejesha amani katika mkoa mdogo wa Ituri huko mashariki mwa nchi hiyo .

Mwandishi wetu John Kanyunyu anaarifu zaidi.

(Kusikiliza makala hii, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John kanyunyu

Mpitiaji: Sudi Mnette

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi