Kongo baada ya Uchaguzi: Wananchi wa Kinshasa wauhama mji kuhofia machafuko | Matukio ya Kisiasa | DW | 05.12.2011
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Kongo baada ya Uchaguzi: Wananchi wa Kinshasa wauhama mji kuhofia machafuko

Matokeo ya mwanzo ya uchaguzi wa rais yanaonyesha rais Joseph Kabila anaongoza na kufuatiwa na mpinzani wake mkongwe Etienne Tshisekedi.Matokeo kamili yatatolewa kesho,lakini tayari upinzani unayapinga matokeo hayo.

kabila.jpg **FILE** President Joseph Kabila smiles during a meeting with former heads of state in Kinshasa, Congo in this Saturday, Nov. 4, 2006 file photo. Kabila appeared to have an insurmountable lead Tuesday, Nov. 14, 2006, in Congo's runoff election with nearly all the votes counted. (AP Photo/Schalk van Zuydam, FILE)

Rais Joseph Kabila aongoza kwa kura katika uchaguzi.

Wasiwasi wa machafuko mjini Kinshasa umesababisha moja wapo ya wakaazi kuanza kuuhama mji huo.Huku maaskofu wa Kongo wakitoa wito wa utulivu na kukubali matokeo ya uchaguzi.

Mwandishi wetu Saleh Mwanamilongo anaripoti zaidi.

Mwandishi: Saleh Mwanamilongo

Mhariri: Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com