1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la Wanasheria wa Jumuiya ya Madola, Commonwealth mjini Nairobi

11 Septemba 2007

Kongamano la wanasheria wa mataifa ya jumuiya ya madola,Commonwealth, limeanza rasmi mjini Nairobi,kenya.

https://p.dw.com/p/CH8I

Zaidi ya wanasheria 2000 kutoka mataifa 53 ya jumuiya ya madola wanahudhuria kongamano hilo, ambapo wanajadili masuala yanayohusika na haki za binaadamu, utandawazi, janga la ukimwi na utatuzi wa mizozo baina ya nchi wanachama.

Mwandishi wetu kutoka Kenya Mwai Gikonyo na taarifa zaidi kutoka Nairobi.