1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kongamano la uchumi laanza Kigali

Sylivanus Karemera11 Mei 2016

Kongamano la kimataifa kuhusu uchumu wa Afrika limeanza mjini ‪Kigali‬, ‎Rwanda‬. Wajumbe kutoka sekta za kisiasa na kiuchumi, wanajadili namna gani Afrika inavyoweza kuwa na sauti kwenye uwanja wa kimataifa kiuchumi.

https://p.dw.com/p/1IlsH