1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano la lugha ya Kiswahili mjini Nairobi,Kenya

Kongamano la Kiswahili linaanza hii leo mjini Nairobi Kenya. Kongamano hilo la Chama cha Kiswahili cha Taifa Kenya (CHAKITA) lililoandaliwa na Chuo Kikuu cha Nairobi litamalizika Agosti 29, mwaka huu.

default

Jiji la Nairobi kunakofanyika Kongamano la Kiswahili

Grace Kabogo alizungumza na Omar Babu Marijani, Mhadhiri wa Kiswahili, mwandishi wa vitabu na mwandishi wa habari, anayehudhuria kongamano hilo na alianza kumuuliza hasa lengo kuu la kongamano hilo:

Mtayarishaji: Grace Patricia Kabogo

Mhariri:Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 26.08.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JIzd
 • Tarehe 26.08.2009
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/JIzd