Kongamano la kujadili mikakati ya Malaria kisiwani Zanzibar
26 Oktoba 2009Matangazo
Wataalamu zaidi ya 150 wa ugonjwa wa malaria barani Afrika wanakutana visiwani Zanzibar-Tanzania, kujadili mikakati ya kupunguza vifo vinavyotokana na ugonjwa huo barani humo. Mwandishi wetu wa Dar es Salaam, George Njogopa yuko visiwani Zanzibar na ametutumia taarifa ifuatayo juu ya mkutano huo.
Mtayarishaji: George Njogopa
Mpitiaji: Grace Patricia Kabogo