1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Utamaduni

Kongamano kubwa la Kiswahili Zanzibar

Sylvia Mwehozi
14 Septemba 2017

Kiswahili ni lugha inayozidi kupanuka. Kamisheni ya Kiswahili ya nchi za Afrika Mashariki iliandaa kongamano hilo ambalo limemalizika hivi karibuni. Salma Said ametuandalia makala ya Utamaduni na Sanaa.

https://p.dw.com/p/2jyza