Kongamano juu ya maswala ya ushirika mwema na Afrika mjini Berlin | Masuala ya Jamii | DW | 27.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Kongamano juu ya maswala ya ushirika mwema na Afrika mjini Berlin

Kongamano juu ya maswala ya ushirika mwema na Afrika katika kuleta mageuzo imeendelea leo mjini Berlin.

Mwandalizi wa kongamano ni Baraza la Pamoja la Kanisa na Maendeleo linaloyajumuisha makanisa ya kikristo ya Ujerumani madhehebu ya kikatoliki na kiinjili katika harakati zao za misaada ya maendeleo. Mada kuu ya majadiliano leo asubuhi ilikuwa utaratibu wa huduma za afya wa kudumu.

Kwa habari zaidi sikilizeni ripoti ya mwandishi wetu Petra Stein kutoka mjini Berlin.