Kompyuta na Mtandao wa Internet –Kipindi 8 – Kushiriki siasa kupitia mtandao wa internet
11 Novemba 2010
Beatrice na John wamejifunza jinsi internet inavyoshiriki katika siasa.Na kwa sababu katika baadhi ya nchi kuna udhibiti wa habari, mtandao wa Internet unaweza kuwasaidia watu kupata habari nyingine.