1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Kituo cha UN kuhamishiwa Nairobi kutoka Entebbe?

Bruce Amani
11 Mei 2018

Uganda inapinga mpango wa Umoja Mataifa kuhamisha kituo cha huduma za umoja huo katika kanda ya Afrika Mashariki kutoka mji wa Entebbe hadi Nairobi. Mwandishi wetu Lubega Emmanuel amefanya mahojiano na naibu msemaji wa serikali Shaban Bantariza

https://p.dw.com/p/2xYKZ