1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Kituo cha Hits FM chashambuliwa Zanzibar

Kundi la watu wasiojulikana wenye silaha usiku wa kuamkia Alhamisi wameivamia na kuiteketeza studio ya kituo hicho cha kibinafsi kilichopo eneo la Migombani, jimbo la Kikwajuni visiwani Zanzibar.

Sikiliza sauti 02:51

Sikiliza mahojiano ya Sudi Mnette na mtangazaji Ali Abdalla

Sauti na Vidio Kuhusu Mada